in Pointer ni kifaa kidogo lakini chenye nguvu kubwa kwa wachimba madini!
Hii ni teknolojia ya hali ya juu inayokuwezesha kugundua dhahabu au metali kwa usahihi wa hali ya juu ndani ya sekunde chache tu. Haijalishi uko kwenye mchanga, udongo, mawe au chini ya ardhi – Pin Pointer inaingilia kazi pale detector yako inapokaribia lengo.
🚀 Faida Kuu za Pin Pointer:
-
📍 Inagundua mahali halisi palipo na dhahabu/metali
-
🔦 Ina mwanga wa LED kwa uchimbaji wa usiku
-
🧤 Rahisi kubeba – inatoshea mfukoni
-
💧 Imara na sugu kwa maji kidogo (water resistant)
-
🔋 Inatumia betri rahisi (inaweza kudumu hadi wiki 2)
🎯 Iwapo wewe ni mchimba madini wa Geita, Kahama, Chunya au hata kijijini kwako – Pin Pointer ni msaidizi wako bora kabisa kuhakikisha hupotezi muda wala nguvu.
Tunakutumia hadi ulipo ndani ya siku 7. Agiza sasa kwa bei ya ofa kabla haijaisha!
Reviews
There are no reviews yet.