Sale

smart watch gt 8 +earbuds

Original price was: TZs 150,000.Current price is: TZs 135,000.

🔥 2 items sold in last 7 days
30 people are viewing this product right now

Smartwatch ya kisasa yenye uwezo wa kupiga/pokea simu, kusoma SMS, kufuatilia afya (moyo, usingizi, hatua), pamoja na earbuds za wireless zenye sauti ya hali ya juu. Inadumu kwa siku 3+ kwa chaji moja na ni waterproof – bora kwa matumizi ya kila siku!

In stock

or
Categories:
Estimated delivery:July 30, 2025 - August 1, 2025

Smartwatch Features

  • 📞 Inapokea na kupiga simu

  • 💬 Inasoma SMS

  • ❤️‍🔥 Ina fitness tracker (🫀 mapigo ya moyo, 😴 usingizi, 🚶 hatua)

  • 🔋 Inadumu chaji siku 3+

  • 💧 Ni Waterproof – inaweza mvua au jasho

  • 🔌 Inakuja na charger + strap laini


🎧 Wireless Earbuds Features

  • 🔊 HD Sound – sikiliza muziki kwa ubora wa hali ya juu

  • 🔋 Inadumu masaa 3–4 kwa chaji moja

  • 🎙️ Ina mic – unaweza kupiga na kupokea simu

  • 📦 Inakuja na case ya kuchaji (charging box)

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “smart watch gt 8 +earbuds”

Your email address will not be published. Required fields are marked

Featured Products