winga wa bidhaa Kariakoo ni chanzo kikubwa cha kipato, lakini wengi wanafanya bila kuelewa sheria zinazowalinda au kuwabana.
Ebook hii ni mwongozo wa kina kwa madalali wa bidhaa mbalimbali wanaofanya kazi Kariakoo – iwe ni nguo, vifaa vya umeme, vipodozi, vifaa vya nyumbani, simu, nk.
Ndani ya kitabu hiki, utajifunza:
✅ Sheria kuu za udalali Tanzania zinazogusa biashara ya bidhaa
✅ Kazi ya udalali inavyotambuliwa kisheria katika muktadha wa Kariakoo
✅ Aina ya bidhaa zinazoruhusiwa kufanyiwa udalali kihalali
✅ Taratibu za kujisajili kama dalali halali kupitia Halmashauri/Mamlaka husika
✅ Jinsi ya kuandika makubaliano ya udalali (commission agreements)
✅ Haki zako kama dalali: ulipaji wa commission, ulinzi wa kisheria, n.k.
✅ Namna ya kuepuka migogoro na wateja au wauzaji
✅ Adhabu za kisheria kwa kufanya udalali bila kibali au kwa utapeliIwapo wewe ni dalali wa bidhaa Kariakoo au unapanga kuingia kwenye biashara hii, basi maarifa haya yatakulinda kisheria na kukuongezea heshima kwenye kazi yako.
Pakua ebook yako sasa – jifunze sheria, linda kazi yako, na fanya uwinga kwa uhalali!

Our Address
Goba center 80626 po box
Opening Hour
Monday – Friday: 9am – 8pm
Sunday & Saturday: 11am – 5pm
Sunday & Saturday: 11am – 5pm
Copyright © 2024 Created by lord nick

Reviews
There are no reviews yet.