Biashara ya dhahabu ni moja ya fursa kubwa za utajiri Tanzania – lakini si rahisi kama unavyofikiri.
Ndani ya ebook hii, utajifunza:
✅ Jinsi ya kuanzisha biashara ya dhahabu kama mtu binafsi au kampuni
✅ Aina ya leseni zinazohitajika (Leseni ya Udalali, Uuzaji, Uuzaji wa Nje – Export)
✅ Jinsi ya kupata dhahabu kwa bei nafuu kutoka kwenye masoko ya madini au migodi
✅ Mbinu za kuangalia ubora wa dhahabu (carat na purity)
✅ Jinsi ya kuuza ndani na nje ya nchi (local & export markets)
✅ Hatua za kuzuia utapeli na usalama wa malipo
✅ Mifano ya watu waliofanikiwa kwenye biashara hii na walivyofanikishaIkiwa wewe ni kijana au mjasiriamali unayetafuta fursa ya kweli yenye faida kubwa, basi biashara ya dhahabu ni njia sahihi – lakini lazima uingie ukiwa na maarifa sahihi.
Pakua ebook yako leo, jifunze yote unayohitaji, na anza safari yako kwenye biashara ya dhahabu Tanzania.

Our Address
Goba center 80626 po box
Opening Hour
Monday – Friday: 9am – 8pm
Sunday & Saturday: 11am – 5pm
Sunday & Saturday: 11am – 5pm
Copyright © 2024 Created by lord nick

Reviews
There are no reviews yet.