Unapenda TikTok? Sasa unaweza kuitumia kukuza jina lako na kutengeneza pesa!
Hii ni ebook ya kipekee kwa Watanzania wanaotaka kujua:
-
Jinsi ya kupata followers wa kweli na wa haraka
-
Mbinu za kutengeneza video zinazoweza kwenda viral
-
Aina za maudhui yanayofanya vizuri zaidi TikTok
-
Njia 5 za kutengeneza pesa kupitia TikTok (brand deals, TikTok Creator Fund, kuuza bidhaa, affiliate marketing n.k.)
-
Jinsi ya kujiweka kibiashara (kama content creator)
-
Makosa makubwa ya kuepuka ili usiharibu ukuaji wa akaunti yako
Haijalishi kama una followers 0 au 1,000 – mwongozo huu ni silaha yako ya kuibadilisha TikTok kuwa chanzo cha kipato.
Pakua sasa, jifunze, na anza kupiga hela kupitia TikTok kama pro
Reviews
There are no reviews yet.