No products in the cart.

Sale

Namba za Wauzaji wa Jumla wa Bidhaa Kariakoo machimbo – Mwongozo wa Biashara kwa Bei Nafuu

Original price was: TZs 19,000.Current price is: TZs 9,900.

🔥 3 items sold in last 7 days
31 people are viewing this product right now

Pata namba za simu za wauzaji wa jumla wa bidhaa mbalimbali Kariakoo.
Ikiwa wewe ni mfanyabiashara au una ndoto ya kuanzisha biashara, ebook hii itakusaidia kupata bidhaa kwa bei nafuu moja kwa moja kutoka kwa wauzaji wakubwa.

In stock

or
Categories:

Tafuta bidhaa kwa bei ya jumla Kariakoo bila kuhangaika!

Ebook hii ni mwongozo wa kipekee unaokupa namba za simu na maelezo ya mawasiliano ya wauzaji wa jumla wa bidhaa mbalimbali ndani ya soko kubwa la Kariakoo, Dar es Salaam.

Yaliyomo ya Kitabu

Sura ya 1 hadi 5: Machimbo ya nguo za watoto, vifaa vya ofisini (stationery), vifaa vya ujenzi
(hardware), dawa (pharmacy), na vinywaji.

Sura ya 6 hadi 10: Kahawa, maremba, vifaa vya mazoezi, miwani, na nywele bandia kama rasta
na wigs.

Sura ya 11 hadi 20: Shati za shifoni, viatu, kofia, gauni za usiku, vitambaa vya masofa, hereni na
cheni, vyombo vya jikoni, na vifaa vya michezo.

Sura ya 21 hadi 30: Pajamas, balo za mitumba, masweta, maturubai, pipi, jeans, jezi, na vifaa vya
kufungashia.

Sura ya 31 hadi 40: Toys, T-shirts, diaper, bidhaa za supermarket, manukato, madera, mitandio,
abaya, hijabu, na vitenge.

Sura ya 41 hadi 50: Khanga, vitambaa vya kushona, vipodozi, nguo za watoto, pochi, vifaa vya
simu, mikeka, bidhaa za wachina, na sufuria sets.

Sura ya 51 hadi 60: Chupa za maji, midoli, lubricants za magari, maduvets, mashuka, mapazia,
majora ya mapazia, T-shirts zinazotrend, na bidhaa za ubuyu wa Zanzibar.

Sura ya 61 hadi 68: Maua artificial, pipi, vifaa vya masofa, bidhaa za mitumba, vifaa vya kuandaa
keki, na bidhaa kutoka kwa wachina moja kwa moja

Haijalishi uko mkoa gani – kwa kutumia namba hizi, unaweza kuwasiliana na wauzaji moja kwa moja, kuagiza kwa bei nafuu, na kukuza biashara yako.

Pakua ebook yako leo na anza kupata bidhaa za jumla bila kupitia kwa madalali!

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Namba za Wauzaji wa Jumla wa Bidhaa Kariakoo machimbo – Mwongozo wa Biashara kwa Bei Nafuu”

Your email address will not be published. Required fields are marked

Featured Products