Jifunze kuagiza bidhaa kutoka China hadi Tanzania kwa urahisi na kwa gharama nafuu!
Kupitia ebook hii, utapata mwongozo kamili wa hatua kwa hatua kuhusu:
-
Jinsi ya kupata wasambazaji wa kuaminika kupitia Alibaba na mitandao mingine
-
Namna ya kuwasiliana nao kwa usahihi
-
Mbinu za kuagiza kwa bei ya jumla na kupata faida kubwa
-
Njia za malipo salama
-
Usafirishaji wa mizigo hadi Tanzania (air & sea cargo)
-
Ushuru wa forodha na jinsi ya kuupunguza kihalali
-
Makosa ya kuepuka kwa wanaoanza
Boresha biashara yako leo kwa maarifa haya ya ndani!
Pakua ebook yako sasa na anza safari yako ya kuagiza kwa mafanikio kutoka China kwenda Tanzania.
Reviews
There are no reviews yet.